Hii ni video mpya kutoka kwa msanii anayejulikana kama WILOVELA ambaye anafanya mziki wa aina ya kuchana.
Wilovela ni mmoja ya marapa wakali wanaotajika kutoka Pwani ya Mombasa na hii ndio video yake ambayo imeongozwa na director anayejulikana kama ADRIAN M audio imeweza kuketiwa chini na produza mkali anayejulikana kama NOIZER.
Pata kuitazama video hio hapa vhini...

Comments
Post a Comment