Skip to main content

#TGM_EXCLUSIVE:HAYA NDIO MAPENZI YA MAMA KWA MWANAWE SOMA HAPA UONE BAWAZIR ALICHOFANYIWA NA MAMAKE MZAZI WIKENDI ILIOPITA....

Wasanii wengi wanapoingia katika tasnia ya mziki wanakuwa na uoga pamoja na wasiwasi ili wazazi wao wasijue na wengi hufanya siri ata wanapoenda studio wazazi wao huwa ngumu kujua.

Hapa imekuwa tofauti kabisa kupitia mamake msanii ambaye anakuja vizuri katika tasnia hii ya muziki wa Kenya apa namzungumzia BAWAZIR BEYBY.

Tofauti yake imekuwa hapa kwani mamake msanii huyu ameweza kujitolea kwa hali na mali kumsukuma mwanawe kimziki bila kuangalia nyuma wala kuskia la muadhini wala la mteka maji msikitini.

Wikendi hii kulikua na tuzo ambazo zilikuwa zinafanyika katika ukumbi wa SEAFRONT ambapo msanii huyu aliweza kupewa tuzo kama msanii anayechipuka,kitengo chake kilipotangazwa kwa bahati mbaya ama nzuri msanii huyu hakuweza kujitokeza na umati ulibaki kinywa wazi pale mamake mzazi BAWAZIR BEYBY aliweza kuenuka alipokuwa amekaa na kuifuata tuzo hio ya mwanawe umati wote ulibaki kinywa wazi wakijiuliza maswali lakini hakuna aliye kuwa na jibu mbali na mamake msanii huyo ambapo kitendo hicho ni nadra sana kutende na mapenzi haya tumeweza kuyaona kutoka kwa msanii DIAMOND PLATNUMZ ambaye ndie msanii pekee anayepewa sapot kubwa na mzazi wake.
 Kumbuka BAWAZIR ni mtoto wa msanii nguli kutoka hapa Kenya anayetambulika kama ALLY B  hatuoni msanii huyo akimshughulikia mwanawe.

Kama hujapata kuitizama video ya msanii huyo pata kuitizama hapa inayojulikana kama NATAMANI

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..