Skip to main content

HII NDIO NYIMBO ILIOMPELEKEA DIAMOND PLATNUMZ KUMCHUKUA HARMONIZE ILIKUWA MSANII WAKE, HIVI NDIVYO ALIVYOANDIKA MANAGER WA HARMONIZE AMBAYE NI DIAMOND PLATNUMZ...

Mbali na kuwa nchini Tanzania kuna manager wazuri na wanaojua kufanya kazi na wasanii wao pia staa DIAMOND PLATNUMZ amechukua jukumu hilo lakuwa meneja.
Msanii kutoka Tanzania ambaye pia ni hit maker wa NANA "SANKORO" Diamond Platnumz ameweza kujitweka jukumu la kuwa meneja chini ya lebo ya WCB ambapo kwa sasa ameweza kummiliki msanii mmoja kwa jina HARMONIZE ambaye kwasasa yuko chini ya mikono ya WCB na ameweza kufanyiwa video moja ambayo imekua gumzo katika mitandao wiki iliopita nyimbo inayotambulika kama AIYOLA.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond Platnumz aliweza kufungua nafsi yake kueleza ni kipi kilichompelekea hadi kumchukua msanii HARMONIZE,Haya ndio aliyoyasema Diamond kumuhusu msanii huyo wake.

                           " Hii ndio nyimbo ilonifanya niamini kunakitu ndani ya Harmonize... nikamuomba mwenyez Mungu anisaidie kunipa uwezo wa kumsaidia ili nae kesho nakesho kutwa atimize ndoto zake na kuweza kuisaidia familia yake pamoja na vijana wenzetu wengine wakali tulio mtaani.. kwakuwa hatuna plan tena ya kuiachia nyimbo hii kiOfficial nikaona siombaya wakati tunaiachia Video yake ya Aiyola kuiweka ngoma hii walau mkito ili nanyi muwe nayo Home! Hii hapa"

Na pia kuna taarifa zengine ambazo zina vuma kwamba Diamond Platnumz yuko katika safari yakummiliki mshindi wa BONGO STAR SEARCH 2015 KAYUMBA JUMA.


Nyimbo yenyewe inajulikana kama KIDONDA CHANGU ambayo aliweza kuirekodi ndani ya studio za MAZUU RECORDS.

Download hapa..

Hii ndio Video mpya ya HARMONIZE..

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..