Skip to main content

NEW SONG ALERT| WASOJALIBAND-AUMBORA| DOWNLOAD IT HERE..


Baada ya kuachia nyimbo yao ya NITALIA NAWE vijana wanaokuja kwa kasi WASOJALIBAND wamekuletea tena nyimbo yao mpya inayojulikana kama AUMBORA.

Tukiongea na meneja wa WASOJALIBAND aliweza kusema kwamba idea ya wimbo AUMBORA ni historia ya ukweli iliomtokea rafiki yake wa karibu,ambaye alikuwa na dadake mkubwa na waliishi maisha yakuteseka hadi dadake rafike yake huyo akaamua kwenda kufanya kazi katika nchi za uarabuni na alipoenda mpaka waleo hajaweza kurudi tena na hawajua alipo dada yao,ndio huu wimbo wa Aumbora ni kama meseji imfikie dada yao kokote aliko.

Imeketiwa chini na produza Noizer Kutoka Green House Production.

Pata kuipakua nyimbo hio hapa upate ujumbe mtamu.


Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..