EXCLUSIVE NEW VIDEO| MABIBI NA MABWNA ILE VIDEO MULIKUA MUNAINGOJEA YA SUSUMILA NA AVRILL HII HAPA "WEWE"...Tazamia hapa
Kumbuka video hii ya SUSUMILA akiwa amemshirikisha mtoto mzuri AVRILL ni moja wapo ya video ilio ama nyimbo iliokuwa inangojewa kwa hamu kubwa zaidi.
Video imeweza kuketiwa chini na director mkali kutoka hapa nchini anayekwenda kwajina RICKY BEKKO na Audio imetoka mikononi mwa Produza TOTTI LA INTERNATIONALE ndani ya studio za KAY G RECORDS.
Pata kuitazamia hapa video hio ya WEWE

Comments
Post a Comment