Skip to main content

"VIDEO YANGU YA KIGARIMBWE IMENILETEA SHIDA NA MKE WANGU PAMOJA NA MAMANGU" MSANII ONTOZZY AFUNGUKA

Video ya KIGARIMBWE ya Ontozzy inayofanya vizuri katika media yamkosanisha msanii huyo na Mamake pamoja na Mke wake.
Ni takriban mwezi mmoja tangu huyu msanii kuachia video yake inayokwenda kwa jina KIGARIMBWE,kumbuka kila akipigia show nyimbo hio aliomshirikisha FAT-S anaonekana mwenye raha lakini kumbe kuna watu hawajipenda video ya nyimbo hio kabisa akiwepo mamake pamoja na mkewe wa ndoa "Nilipomaliza kushoot video hio na BULLET kuitengeneza hadi kuimaliza aliweza kuniita na kunipa video hio lakini nilipoipeleka nyumbani na kuitazama pamoja na mama watoto wangu aliweza kuenuka na kuendajikoni sikumuelewa hadi ilipoisha,niliweza kumuuliza maoni yake na hakuweza kuvumilia na kuniambia peupe kwamba hajapendezwa na warembo waliokuwa katika video hio walivyokuwa wanacheza na visikati vyao niliweza kum'bembeleza anielewe kuwa ile ni kazi lakini ni kama maneno yangu nilikua na yatupa chooni maana yaliingia na sikio la kulia na kuingia kushoto" Alisema Ontozzy.


Mbali na hivyo alisema kwamba alimpelekea malalamishi hayo Editor na Director wa video hio ambaye si mwengine ia BULLET BABA YAO ambapo aliweza kumuelewa na kuiedit tena alipoipeleka yalijirudia yaleyale na mkewe kumwambia mamake kwamba mwanawe ameharibika huku Mombasa anatoa video akiwa na wanawake ambao wako uchi,Ontozzy aliwezakusema ripoti hio ilipomfikia mamake mzazi ndio ilikuwa balaa zaidi maana alimwambia hayuko radhi na yeye na kama usanii ni huo bora arudi shamba akalime "Nilimketisha chini editer wangoma yangu nikamueleza nimeoa na mke wangu kanisaidia pakubwa kulipa video ya KIGARIMBWE, kwaio maswala ya kuekwa karibu na wanawake itakua ngumu, Jibu nililopata "haina shida" kisha kazi yakushoot akaanza na kuisha Salama, baada ya week mbili nkatumiwa raffcopy sikuipenda ilikua chafu shida ile ya CHURA by SNURRA, nilipomuliiza BULLET the BABAZ a.k.a MUNYAMA, alidaisha hio song yako inataka io video, nilipowaonyesha watu Wangu team_MABINAMU, wakasema n Kali sana but haitacheza Kwa MEDIA........" alisema hayo akiwa na hasira nyingi kupindukia.


Hii ndio Video ya KIGARIMBWE.

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..