Kati ya video zilizokua zinangojewa kwa hamu na ghamu na mashabiki hii hapa ya nguli wa mziki ALLY B ni moja kati ya hizo.
Hii ndio video ambayo msanii huyo amesema imgharimu kima kirefu cha hela kuanzia aingie katika tasnia ya mziki,video inajulikana kama BEMBEA ambayo imekitiwa chini na director nguli LIL GU G na audio imetoka kwa AMZ WA LEO.
Pata kuitazama hapa chini...

Comments
Post a Comment