Skip to main content

NEW AUDIO ALERT| HII NI NGOMA MPYA YA MSANII ROMA AMBAYO INASEMEKANA INATAKAKUBANIWA KUCHEZWA KATIKA VITUO VYA RADIO, INAYOJULIKANA KAMA VIVA ROMA VIVA| SKIZA NA DOWNLOAD HAPA


Baada ya kuiachia ngoma yake VIVA ROMA VIVA mapema wiki hii inayosemekana imejaa ukweli ndani yake ngoma hio haijapa nafasi ya kupenya katika media nchini Tanzani.

Ngoma hio ya msanii wa Hip Hop ROMA MKATOLIKI inayosemekana imejawa na ukweli ndani yake inasemekana imeweza kufungiwa isischezwe ambapo hadi sasa haijabainika kinachofanya ngoma hio kutaka kubaniwa.

Hapo jana msanii huyo kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM aliweza kuandika maneno mazito na haya ndio aliyoyaandika kuhusiana na fununu hizo zinazoendelea


Pata ku Download nyimbo hio hapa.

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..