Ni mmoja ya wasanii matata sana katika mitindo ya kuchana na ni mmoja wa wana Hip Hop wanaochana na kuimba apa namzungumzia NAY WA MITEGO ambapo baada ya SAKA HELA amekuja na hii hapa nyengine inayokwenda kwajina PALE KATI PATAMU.
Kama tunavyojua Nay ni msanii anayependa kuchana watu pamoja na wasanii wenzake je round hii ameimba nini ama amechana nani? Maswali yako yajibu kwa kuipakua nyimbo yake hapa chini.
Kama tunavyojua Nay ni msanii anayependa kuchana watu pamoja na wasanii wenzake je round hii ameimba nini ama amechana nani? Maswali yako yajibu kwa kuipakua nyimbo yake hapa chini.
Comments
Post a Comment