Msanii wakike kutoka nchini Kenya ambae ni mzaliwa wa Mombasa anayejulikana kama JOVIAL SKY wiki hii aliweza kutoa kilichokua moyoni mwake.
Jovial ambaye wiki hii ameweza kutoa kichupa chake kinachojulikana kama MIMI NI WAKO aliweza kufunguka kwa kuandika kutumia ukurasa wake wa facebook."Bugu Bugu...Dundaing Walai Kenya kuna mziki mtamu hahaa Sijaelewa BTW" Aliandika hayo kupitia ukurasa wake wa facebook ambapo apo ameweza kuchambua nyimbo mpya ya KING KAKA na nyengine ya GABU

Pamoja na hayo pata kuitazama kazi mpya ya msanii huyo wakike inayokwenda kwajina JOVIAL-MIMI NI WAKO
Comments
Post a Comment