Skip to main content

EXCLUSIVE STORY|||| HIVI NI KWELI VANESSA MDEE NA TREY SONG WANA KWICHI KWICHI? NA JUX AMETEMWA? SOMA TAARIFA NZIMA HAPA...

Kuna habari kuntu zinazoenea kwamba V.MONEY na mkali kutoka Marekani TREY SONG wana uhusiano wakimapenzi hii ni baada ya kukutana ndani ya studio za COKESTUDIO
Wiki iliyopita, Vanessa pamoja na wasanii wengine takriban 9 wa Afrika, waliingia studio na Trey Songz kurekodi wimbo kwaajili ya msimu mpya wa kipindi cha Coke Studio Afrika. Hata hivyo Trey alionekana kuwa karibu zaidi na Vee Money kiasi cha kuzusha tetesi kuwa huenda Jux akawa amesalitiwa.
Anasema picha na video hizo zinatafsiriwa vibaya na kwamba yeye na Trey wamewahi kukutana kabla ya hapo na siku zote amekuwa karibu naye.

“Me and J are 100,” Vanessa ameyaongea hayo baada ya kuulizwa kuhusu minong’ono hiyo.

“The video and pictures going around are misinterpreted, I worked for MTV and had met Trey before, we were cool then and are cool now,” amesisitiza.

“I respect him [Trey Songz], Juma and all our fans.”

“Being a female artist in Africa, people are always waiting for any opportunity to tarnish ones image , and disregard years of handwork and success. Watch this space am about to give them more. Kazi tu,” ameongeza hayo na hasira nyingi

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE HII HAPA : MASAUTI KATABIRIWA KUWA "THE NEXT BIG THING" NDANI YA MWAKA 2019 JE UNAJUA NI NANI ALIYEMTABIRIA?..Soma hapa

Katika miaka yote mwaka wa 2018 unaonekana ndio mwaka ambao mkali wa masauti Shembwana Masauti ameweza kufanya kazi nyingi nzuri na za ghali sana. Mkali wa 'vocals' Masauti mwaka jana aliweza kudondosha ngoma kali takriban kama nne kwa mfululizo amabazo ziliweza sana na kwasasa kibao kinachotatiza anga kinaitwa KIBOKO ambacho kibao icho kinaendelea kufanya vizuri ndani Afrika Mashariki. Hapo jana Presenter mkubwa kutoka MileleFmJalang'o almaarufu kama Mzee Jalas Mwenyewe aliweza  kusema msanii huyu huu mwaka ndiye atakaye sumbua kulingana na usimamizi wake mzuri pamoja na kazi zake zinazoweza kupita kiwango. Hii Hapa ndio kazi yake MAsauti mpya inayokwenda kwajina KIBOKO

EXCLUSIVE: DOWNLOAD WIMBO MPYA WA TANZANITE ALIYO MUIMBIA LULU WA BONGO MOVIE

Pata kudownload na kuskiza hapa chini....

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.