Skip to main content

AKOTHEE KUACHIA WIMBO NA VIDEO YAKE MPYA INAYOJULIKANA KAMA DJELE DJELE WIKI IJAYO....soma zaidi..




Msanii wa kike kutoka hapa mkoani anayejulikana kama AKOTHEE mkali wa PASHEE na KATIKA wiki jana alionekana katika maeneo ya MWANZA nchini Tanzania akifanya maanadalizi ya video yake atakayo itambulisha wiki ijayo juma nne inayojulikana kama DJELE DJELE.

The Great Mulley tuliamua kumfukuzia hadi tukampata na kumuuliza mawili matatu na haya ndio alikuwa nayo yakusema "Djele Djele ni wimbo wangu mpya ambao nimeufanyia katika studio za KG-RECORDS chini ya producer wangu nnaye muamini namuita babanu kimziki maana ananilea sio mwengine bali Totti, na video mafans wangu waitarajie wiki ijayo jumanne ambapo nimeifanya na mkali wao HAMZA OMAR wa ONE POINT MONTAGE kwa hivyo watarajie kitu kikali kutka kwa AKOTHEE" alisema hayo.

Tuliweza kumuuliza kwanini video hio ameifanyia katika ncini jirani Akothee alidai kuwa mahandhari ya aeneo hayo yaliambatana na nyimbo hio ndio maana akaenda kufanyia video uko.

Hizi ndio baadha ya picha za video hio yake mpya itakayo tambulishwa wiki ijayo kwa jina DJELE DJELE.



















Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..