ALI KIBA: "MWANA" ILIKUA NIIFANYE NA FALLY IPUPA LAKINI TUKAOGOPA SOMA HAPA UJUE KILICHO WAOGOPESHA....
Msanii wa Bongo anayejulikana kama Ali Salei Kiba tunaye mjua kama ALI KIBA amefunguka ya kwamba nyimbo aliyoitoa hivi majuzi ilikua aifanye na msanii kutoka DRC Congo anayejulikana kama FALLY IPUPA.
Kiba alisema mipango hio ilitibuka pale alipojua kuwa ngoma hio ni kali bila mkali huyo wa Congo Fally Ipupa ivyo kumlazimu aiache kama ilivyo kwasasa na kuandaa wimbo mwingine atakao mshirikisha FALLY IPUPA.
"(Mwana) Ilikua niifanye na Fally Ipupa before,lakini sasa tulipoona nimerekodi ikawa nzuri zaidi tukasema tusihiaribu anaweza recodi kumbe bahati mbaya ndio anaiaribu kwahivyo nikamwambia ngoma nyengine Fally." Alisema kupitia kipindi cha XXL CLOUDSFM TZ.,
"Kwahivyo ilikua imeandaliwa beat lakini kwa utamu niliouzidisha mie ndani ya mpaka tukaogopa kwamba Fally sije akapotea ama kupoteza zaidi,lakini sikufikiria hilo,kitu cha muhimu nilichokifikiria kwamba ukiona nyimbo imekuwa zaidi sana iache hivyo hivyo iendelee tutafute kingine.
Comments
Post a Comment