Skip to main content

EXCLUSIVE VIDEO| ILE VIDEO YA OMMY DIMPOZ "TUPOGO" ILIYOKUWA INASUBIRIWA KWA HAMU NDIO HII HAPA...Pata kuitizama





Picha hizi zilisambaa miezi michache nyuma ambazo zilikua zikimuonyesha Ommy Dimpoz kama katoka kijijini amekuja mjini,zilizua maswali mengi sana na baadae alisema zilivuja maana zilikua zikihusu tamasha la Serengeti Fiesta.
Video yake imeongozwa na Adam Juma kutoka Next Level,ndani ya video hii yupo pia mrembo Jokate ‘Jojo’ ambaye wanaonekana kwenye treni wakisafiri,hii ni remix iliyopigwa ki midundo ya mchiriku zaidi baada ya ile ya kwanza,humu kashirikishwa Msaga Sumu.


Pata kuiizama..


Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..