Skip to main content

EXCLUSIVE STORY|||HIT MAKER WA NITULIZE "BROWN MAUZO"AMTUPIA LUGA MSANII WAKIKE SANAIPEI TANDE KWENYE HEWE ZA MZAZY WILLY M.TUVA...Soma hapa zaidi

Msanii anayetamba na kichupa chake kipya kinachokwenda kwajina APOTEE,Brown Mauzo hapo jana aliweza kuyamwaga yake ya moyoni hewani.

Hapo jana katika studio za RADIO CITIZEN ndani ya kipindi cha MAMBO MSETO kinachoongozwa na MZAZI WILLY M.TUVA walikutana wawili hawa ambapo kila mtu alikua ameenda kivyake kuachia rasmi ujio wake mpya ndipo pale Brown Mauzo alishindwa kuzizuia hisia zake na kutema ya moyoni.

Ni pale ambapo Mzazi aliwaomba kila mmoja amuulize mwenzake swali moja msanii wakike Sanaipei alianza wakwanza kumuuliza swali na swali lake lilikwenda hivi "Je wewe unatokea anga zipi hapa nchini?" Sanai, naye Brown kwa mtetemeko flani ivi licha yakwamba hakuulizwa majina kamili lakini ilimbidi ajieleze sio kama Brown Mauzo ila kama Fredrick "Kwa mahina naitwa Fredrick Mutinda natokea maeneo ya South Coast/Ukunda wewe ni mremb sana kuanzia sauti hadi wewe mwenyewe" Brown kajieleza ilipofika hapo Mzazi aliweza kuzima Mic za studio na waliporudi hewani Brown aliskika akisema "Amekubali twende dinner leo usiku" na baada ya mda mchache kidume huyo aliweza kutupia picha katika mtandao wake wa instagram ikiwa na caption flani ya kimahaba.

Hii hapa. 

A photo posted by Brown Mauzo (@brownmauzo254) on
Pata kuitazama vdeo yake ya APOTEE HAPA CHINI

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..