Skip to main content

EXCLUSIVE::::MSANII WA HIP HOP KUTOKA KUNDI LA WEUSI "NIKKI WA PILI" AWAPA VIJANA NASAHA SIKU MOJA KABLA SIKU YA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI..

Ikiwa leo ni tarehe mosi mwezi wa kumi na mbili ambapo ni siku na tarehe ya maadhimisho ya siku ya Gonjwa la UKIMWI DUNIANI almaarufu kama (WORLD AIDS DAY).
Msanii wa Hip Hop NIKKI WA PILI kutoka kundi tajika Tanzania linalofahamika kama WEUSI ambapo ndani kuna G.NAKO,BONTA MAARIFA,NIKKI WA PILI,LORD EYES pamoja na JOH MAKINI. Tarehe ishirini na nane ya mwezi wa kumi na moja msanii huyo aliweza kutoa ushauri wake kwa vijana wanapoelekea katika msimu wa kujirusha pamoja namaadhimisho ya siku ya kuadhimisha Gonjwa la Ukimwi Duniani,hit maker huyo wa nyimbo ya KANIFUATA aliyomshirikisha msanii wa RnB African Boy almaarufu kama JUX aliweza kuandika haya akiambatanisha na picha yake.
Tukimnukuu Nikki aliandika haya kupitia ukurasa wake wa Instagram "Kuelekea siku ya ukimwi duniani,niongee na wale kina dada staki nataka.....yaani kaja gheto lakini mpaka mvutanee,mchaniane nguo,mvuane kwa vita.....sasa msichana kama huyu kinga utavaa saa ngapi yaani ukimuachia tu kesha vaa nguo inakubidi tu ughairi kuvaa usipoteze fursa......hebu kama umekubali sema mkae mjipange kwa tendo salama.....Kinga yenyewe ina hatua zake ili kuitumia salama na haitaki haraka. Aliweza kuandika maneno hayo mazito.

👇👇👇👇👇



Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..