EXCLUSIVE NEW VIDEO||| MABIBI NA MABWANA EDDY TICHA ANAWAALIKA KUTIZAMA VIDEO YAKE MPYA "VUNJA" Tizama hapa
Eddy Ticha ni mmoja ya wasanii waliojawa na vokol zaidi akiingia ndini ya chumba cha kuangusha Melody na Punch round hii amekuletea kichupa chake kinachokwenda kwajina VUNJA.
Bonyeza hapa kuitazama..
BONYEZA HAPA KUITZAMA VIDEO YA VUNJA
Ikiwa ndio Video yake yapili tangu kuanza miziki kama solo artist alipotoka katika kundi la WATASH ivi amekualika kuitazama video yake mpya kabisa ilioweza kuongozwa na LYNKE JUNIOR kutoka DAMUSIKLAB audio imetoka katika studio za THURNDERSOUND chini ya kiongozi SHERIFF almaarufu kama MORBIZ.
Bonyeza hapa kuitazama..
BONYEZA HAPA KUITZAMA VIDEO YA VUNJA
Safi sana
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDelete