Skip to main content

SLEEM G AAPA KWAMBA HAKUNA KITU DIAMOND PLATNUMZ ANAWEZA FANYA NA YEYE KIMSHINDE...soma hapa..


Hapo jana katika uzinduzi wa video yake mpya katika mkahawa wa BELLA SPORTS msanii SLEEM G alisimama jukwaani na kusema yeye anajiamini sana na wasanii wa hapa mkoani inasemekana hawajiamini.

Ambapo alitoa ushauri kwa mafans wake pamoja na wasanii akisema kuwa tumekuwa tukijishusha chini kila wakati tunapongeza kazi za watu na zetu uku tunaziachilia wazi tu na kusema wasanii pia wanahitajika kujiamini zaidi ili wafike mbali na mbele zaidi.

Sleem G akiwa anaachia video yake mpya alisema "SISI WASANII NA MAFANS WA PWANI INAFAA TUJIAMINI MAANA INASEMEKANA MAFANS WA PWANI HAWAFAGILII MAFANS WAO TUNAFAGILIA WASANII WA NJE MIMI HAKUNA KITU DIAMOND ANAWEZAFANYA MIMI SIWEZI" Alisema Sleem G.

Wakati huo huo msanii huyo pia alisema hakuna kitu msanii huyo mkali wa Bongo DIAMOND PLATNUMZ anaweza kufanya na yeye kimshindi kama ni nyumba kama ni magari ya kifahari yote anaweza ivo inafaa tujiamini zaidi kwa kazi tunazozifanya.

TIZAMA VIDEO YAKE MPYA HAPA.. #MAMA

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..