Skip to main content

SUSUMILA KUTOA NGOMA YAKE MPYA BILA KUMSHIRISHA CHIKUZEE TENA....SOMA HAPA ZAIDI.


Msanii kutoka hapa Kenya anayetambulika kama hit maker wa HIDAYA na NGOMA ITAMBAE ambapo zote ameshirikisha msanii Chikuzee hivi karibuni atakuwa anaachia ngoma yake mpya inayojulikana kama IHALE.

Msanii Susumila wakati huu inaonekana hatomshirikisha CHIKUZEE katika ngoma hio mpya kama watu walivyo tarajia kuwa ngoma nyengine pia watakuwepo pamoja.

Kumbuka ngoma hizo mbili waliposhirikiana fununu zilizuka kuwa wawili hao wanataka wawe kama kundi moja na kupiga nyimbo zao wakiwa pamoja,Tukimuhoji msanii SUSUMILA alituelezea kuwa yeye na Chikuzee sio kundi moja bali walikuwa wakiimba t kama wasanii wengine tulimnukuu " Mimi na Chiku hatuko kundi moja na wala hatuna mkataba tulikuwa na fanya kazi tu na sio ati Chiku na Susu ni kundi kama wat wanavyo sema lakini kukitokea kazi kama inahitajika tuifanye mimi na yeye ttapiga kazi" alisema Susumila

Susumila atakuwa anaachilia ngoma yake mpya itakayojulikana kama IHALE ambpo amemshirikisha msanii kutoka Congo anayetambulika kama SARKOZY.

Kaa mkao wa Kula.

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..