Skip to main content

EXCLUSIVE STORY| JOSE CHAMELEON AMPA MKONO WA HESHIMA DIAMOND PLATNUMZ HICHI NDICHO ALICHOKIANDIKA MAPEMA LEO...Soma hapa

Mwanamuziki mkongwe hapa Afrika ,Jose Chameleon amefunguka ya moyoni mapema leo hii na kusema kuwa hakuna tatizo lolote baina yake yeye na DIAMOND PLATNUMZ.
Mitandao ya kijamii imekuwa ikidai kwamba Bwana DIAMOND PLATNUMZ hit maker wa KIDOGO na JOSE CHAMELEON hit maker wa WALE WALE,Wamekuwa hawana mahusiano mazuri na kusema kwamba wawili hao wana bifu ambapo bifu hio haijulikani ilikotoka.

Mapema leo hii Chameleon aliweza kuweka wazi katika mtandao wake na kutoa ati ati katika vinywa pamoja na akili za watu.

Jose aliweza kufafanua haya "“I know how much hard work it takes to build a name and how we are all relevant to flying Africa Music to the world. I can see people trying to build beef lines between me and Diamond Platnumz all these years,” aliandika Jose kupitia instagrm.

Aliongeza na haya , “All I can say is go higher my brother the sky ain’t the limit.Stay strong and God bless you more,”


Baada ya kusema hivyo, mashabiki wa Diamond pamoja na wadau mbalimbali wa muziki katika mitandao ya wamempongeza Jose Chameleone.

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..