Skip to main content

RAP DEM AKIRI KUWA HAJAACHA MZIKI KAMWE NA BADO YUKO KWA MZIKI SANA...soma alichokisema.


Msanii wa mtindo wa Genge anayetokea pande za Mombasa Kenya mapema hii leo alikuwa akihojiwa na MAFIMBO MFALME alidai kuwa yeye bado hajaacha mziki.

Msanii huyo wakike alidai kuwa account yake ya FACEBOOK ilikuwa imechukuliwa na mtu ,mwengine na sio yeye alieyeandika kuwa ameacha mziki,Rap Dem alizidi kujitetea na kudai kuwa watu wanmuharibia jina tu kwa kashfa zauongo hivyo basi ameamua kuingia katika studio za MWAMBA records kwa Noor kuddhibitisha kuwa yeye hajaacha mziki na hatowacha kamwe.

"Account yangu ndio ilikuwa ime hukiwa na ndugu yangu na kuandika kwamba mimi nimeacha mziki lakini mimi sijaacha mziki na sitowacha bado niko kwa game sana" Tulimnukuu akiyasema hayo katika anga za Pwanifm mapema hii leo

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE HII HAPA : MASAUTI KATABIRIWA KUWA "THE NEXT BIG THING" NDANI YA MWAKA 2019 JE UNAJUA NI NANI ALIYEMTABIRIA?..Soma hapa

Katika miaka yote mwaka wa 2018 unaonekana ndio mwaka ambao mkali wa masauti Shembwana Masauti ameweza kufanya kazi nyingi nzuri na za ghali sana. Mkali wa 'vocals' Masauti mwaka jana aliweza kudondosha ngoma kali takriban kama nne kwa mfululizo amabazo ziliweza sana na kwasasa kibao kinachotatiza anga kinaitwa KIBOKO ambacho kibao icho kinaendelea kufanya vizuri ndani Afrika Mashariki. Hapo jana Presenter mkubwa kutoka MileleFmJalang'o almaarufu kama Mzee Jalas Mwenyewe aliweza  kusema msanii huyu huu mwaka ndiye atakaye sumbua kulingana na usimamizi wake mzuri pamoja na kazi zake zinazoweza kupita kiwango. Hii Hapa ndio kazi yake MAsauti mpya inayokwenda kwajina KIBOKO

EXCLUSIVE: DOWNLOAD WIMBO MPYA WA TANZANITE ALIYO MUIMBIA LULU WA BONGO MOVIE

Pata kudownload na kuskiza hapa chini....

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.