Skip to main content

EXCLUSIVE AUDIO| MR.TEN (TRIPPLE BOIZ) NASHUKURU MUNGU| Downlod it here....


Mr.Ten ni msanii upcoming anayetokea mkoa wapwani mbpo yuko chini ya Produza anayesifika kwa utndaji kazi yake apa namuiongela PRODUZ TEEE (Tach za Miba).

Mr.Ten ni msanii amabaye anaongoz kuni lake la TRIPPLE BOIZ lakini kwa sasa amekuja na ujio wake kma solo artist ili aoneshe mafans wake ujuzi wake wakutumia vocals zake pamoja na beat na huu ujio wke mpya unakwenda kwa jina la NASHUKURU MUNGU.

DOWNLOAD HAPA.
Pata kudownlod wimbo huo hapa chini.....


Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..