Skip to main content

NEW VIDEO ALERT|||YULE MUUZA MAYAI "FAT-S' AKIWA AMESHIRIKISHA WYNAS ANAWAALIKA KUITAZAMA VIDEO YA "MBONI YANGU"

Ni wiki moja imepita kulikua na tetesi kwamba msanii mkongwe FAT S inasemekana alikutwa akiuza mayai maeneo ya Likoni ferry na taarifa izo zikatapakaa sana kuwa mwimbaji huyo ameacha mziki na kuingilia uuzaji wa mayai.
Baada ya picha izo kutambaa mitandaoni hapo jana Fat S pamoja na mwenzake Wynas wameweka wazi kuwa sio kuwa alikua anauza mayai bali ni kichupa kilikua kinatengenezwa.

Hii hapa video mpya yinayokwenda kwajina MBONI YANGU iliyoongozwa na RICKY BEKKO kutoka BIG DREAMS na audio imeundwa na P-LION kutoka MK2.

Pata kuitizama video hio kwa kubonyeza link hapa chini.


Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..