Skip to main content

NEW GOSPEL AUDIO||| HANNAH THE BLESSED CHILD-MUNGU ANAWEZA|| Pata kuipakua hapa

Huu hapa wimbo wa msanii wa nyimbo za injili anayekwenda kwajina HANNAH THE BLESSED CHILD unaotambulika kama MUNGU ANAWEZA,huu ni wimbo wake wakwanza tangu kuingia katika dini ya ki Kristo kutoka kwatika Uislamu.

Na ni mwanadada mwenye ushuhuda mkubwa sana ndani ya moyo wake bado tunafanya mahojiano naye ivo basi usikae mbali na blog yako ya Www.thegreatmulley.blogspot.com ili upate THE EXCLUSIVE INTERVIEW.
Pata kuidownload hapa..
DOWNLOAD HAPA

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..