Skip to main content

EXCLUSIVE PHOTOS: KAMA ULIKOSA TAMASHA LA JANA STARDUST MALINDI BROWN MAUZO,AKOTHEE NA JITUZEE...pichandio hizi apa


Hapo jana katika mkahawa wa STARDUST MALINDI palichimbika paleambapo BROWN MAUZO,AKOTHEE na JITUZEE walipotikisa jukwaa na kupagawisha mafans wao.

Brown alipopanda juu ya jukwaa ma binti wote waMalindi walisimama na kuacha vinywaji vyao pasi kujuakuwa vingeliibiwa ama kupotea maana kila mwanadada alitaka japo acheze na msanii huyo anayejulikana kama MAUZO.

Naye anayetambulika kama mpenzi wake BROWN alipopanda jukwaani wanaume nao hawakujizuia hisia zao na kupanda juu ya jukwaa wakimwagia mwadada huyo noti za pesa mpaka akashindwacha kufanya.

hizi ndio baadhi ya picha za tamashahilo.













Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..