Skip to main content

EXCLUSIVE BEHIND THE SCENE PHOTOS| HIZI NI PICHA ZA UANDAAJI WA VIDEO MPYA YA BWENYEWE AKIWA AMESHIRIKISHA SUSUMILA "HINDE" PATA KUZITIAZMA HAPA


Kwa muda mrefu msanii aliyekuwa akijulikana kama DOUBLE S alikua yuko kimya chini ya maji hadi akarudi kwenyewe kinyag'anyiro cha mziki hivi majuzi na kujipa jina jipya linalojulkana kama BWENYEWE MFALME.
Hapo jana katika pite zetu tuliingia katika location ambapo ilikua ni BWENYEWE na SUSUMILA wanaanda video yao inayojulikana kama HINDE.
Tuliweza kuwauliza mawili mattau na tukachukua picha ambazo ni za tukio zima la kuandaa video hio.

Muandaaji wa video hio ni director RICKY BECKKO ambaye amefanya video kama NGOMA ITAMBAE,HIDAYA pamoja na IHALE na audio hio imeweza kutengezwa katika studio za SQ-RECORDS na produza AMZ WA LEO.

Hizi ndizo picha za video hio..








Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..