Skip to main content

EXCLUSIVE VIDEO| TOTTI LA INTERNATIONALE-WANGU| Watch it here...


Baada ya kimya cha muda mrefu TOTTI amerudi tena na mzigo wake mpya unaojulikana kama WANGU kumbuka mara ya mwisho TOTTI kuachia kichupa kipya ni wakati wa HAWAKUFAI ambapo ni moja ya nyimbo zake zilizofanya vizuri zaidi katika soko la Africa Mashariki katika vituo mabli mbali vya Televishenihumu nchini na nje.

Video hii yake mpya inayojulikana kama WANGU aliweza kuiachia siku ya MADARAKA DAY ambapo ilikua Tarehe moja mwezi huu wa sita (1.06.2015) wiki hii Jumatatu,Video hio imeweza kuongozwa na SYNC.

Tukikumbuka kwamba TOTTI pia ni produza wa studio za KAY-G RECORDS ambapo yeye ndiye produza wa msanii AKOTHEE,BROWN MAUZO pamoja na RICKY MULOLO.

Taarifa tulizozipata ni kwamba Totti anataka kung"atuka katika produza na kuingilia usanii wakati wote bado tunazichunguza taarifa izo na tutaweza kukuletea...


Tizama video hio hapa...

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE HII HAPA : MASAUTI KATABIRIWA KUWA "THE NEXT BIG THING" NDANI YA MWAKA 2019 JE UNAJUA NI NANI ALIYEMTABIRIA?..Soma hapa

Katika miaka yote mwaka wa 2018 unaonekana ndio mwaka ambao mkali wa masauti Shembwana Masauti ameweza kufanya kazi nyingi nzuri na za ghali sana. Mkali wa 'vocals' Masauti mwaka jana aliweza kudondosha ngoma kali takriban kama nne kwa mfululizo amabazo ziliweza sana na kwasasa kibao kinachotatiza anga kinaitwa KIBOKO ambacho kibao icho kinaendelea kufanya vizuri ndani Afrika Mashariki. Hapo jana Presenter mkubwa kutoka MileleFmJalang'o almaarufu kama Mzee Jalas Mwenyewe aliweza  kusema msanii huyu huu mwaka ndiye atakaye sumbua kulingana na usimamizi wake mzuri pamoja na kazi zake zinazoweza kupita kiwango. Hii Hapa ndio kazi yake MAsauti mpya inayokwenda kwajina KIBOKO

EXCLUSIVE: DOWNLOAD WIMBO MPYA WA TANZANITE ALIYO MUIMBIA LULU WA BONGO MOVIE

Pata kudownload na kuskiza hapa chini....

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.