Skip to main content

EXCLUSIVE VIDEO | THE AWAITED VIDEO IS OUT | DJELE DJELE BY AKOTHEE | Watch it here.....

Akothee amerudi tena katika kioo chako na muda huu amekuletea kitu tofauti ambapo ni wakati tu mchache uliopita ameachia video yakempya inayojuliana kama DJELE DJELE.

Msanii huyo wakike anayekuja kwa kasi sana katika tasnia hii ya mziki alikuletea nyimbo kama KATIKA na PASH nyimbo hizo ambazo ndio zilimtambulisha katika kinyang'anyiro hichi cha mziki na kuweza kunga'aa zaidi, hapo nyuma kidogo tulikuachia exclusive picha za video hio mpya ikiwa inatengenezwa na kwasasa video hio imeachiliwa rasmi.

Wimbo huo umetengenezwa katika studio za KAY-G RECORDS cini ya producer mkubwa na mkongwe anayejulikana kama TOTTI na video hio kama tulivyo kuharifu hapo nyuma ilitengenezwa na kampuni ya ONE MONTAGE iliyochini ya mtayarishi HAMZA OMAR.


Pata kuitazama videohio hapa..

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..