Skip to main content

MSANII WA X-MATHARE OHZY ADAI KUWA HAKUNA MZIKI MBOVU DUNIA HII.....SOMA ALICHO KISEMA HAPA..




Katika mkahawa mmoja hapo jana THE GREAT MULLEY ilikuwa na msanii anayetoka katika kundi la X-MATHARE linalotamba na ngoma yao NIMERYKE.

Tuliweza kumuuliza msanii huyo kuwa anaonaje kuhusu usanii wa hapa Kenya,alikiri kuwa hapa Kenya na ulimwengu mzima alidai kuwa hakuna mziki mbaya kabisa ni pesa yako ndio inaongea, "Usanii siku hizi umekuwa sio kipaji tena bali ni pesa yako ndio itakayo kufanya ujulikane na ngoma yako iweze kunye katika anga za ulimwengu" alisema Ohzy.

Tulimuuliza ni ngoma gani anayoonelea sio nzuri lakini ni mfuko ulifanya kazi msanii huyo alicheka na kudai kuwa hataki kusema na kueka wazi maana yeye mwenyewe hataki gumzo na story nyingi mitandaoni lakini aliweza kutupatia mfano wa nyimbo iliyofanya vizuri na kusema kuwa MARY MELA ni ngoma ambayo ililazimishwa katika masikio ya watu lakini hakuwa inaridhisha sana.

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..