Skip to main content

T.G.M IMEKUSOGEZEA PICHA ZA MADAM BOSS AKILA BATA UGHAIBUNI UKO NCHINI SWITZERLAND AKIWA NA HABIT WAKE.....Bonyeza hapa upate kuzitizama.

Kuanzia mwanzo wa hii wiki mmiliki wa AKOTHEE SAFARIS anayejulikana kwajila lake la MADAM BOSS amekua akidondosha picha zake akiwa Ugaibuni almaarufu ulaya katika nchi tofauti tofauti kama vile FRANCE,SWITZERLAND pamoja na nyengine nyingi akila bata la hali ya juu sana.
Msanii huyo ambae ivi karibuni amedondosha hit yake iliyojulikana kama LOTTO,baada yakuachia wimbo huo alionekana yuko Zurich akiwa katikati ya starehe zisizokua na kifani wanasema bata batani na aliweza kunyeshea mtandao wake wa instagram kwa picha izo uku akiwaacha watu wakimwagika mate...
Baadhi ya picha za stargal huyo ambazo tumeweza kuzinasi ziko hapo chini pata kuzitazama kwa umakini.


Akiwa na mpenzi wake Nellyoaks















Pata kuitazama video yake ya LOTTO hapa chini...





Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..