Baada ya kimya cha muda mrefu msanii anayejulikana kama SULTAN WA PWANI amevunja kimya hicho na kuachia ngoma mpya ambayo amemshirikisha msaniiwa Hip Hop anayetambulika kwa jina KHALIGRAPH JONES.
Ngoma hio yao mpya inajulikana kama SO FAR SO GOOD ambayo wameweakuiketia chini ndani ya studio za THURNDER SOUND mkono ukiwa ni wa produza mkongwe MORBIZ,video imetengenezwa na director anayekuja kwa kasi JOHNSON KYALO chini ya TOP NOTCH FILMS.
Pata kuitzama video hio hapa chini...
Comments
Post a Comment