Wengi hawajawahi kumjua wala kumtambua mpenzi wa TOTTI na wala msanii huyo hajawahi kuwa na mtu wala kumueka mwanamke yeyote wazi hii imeanza wiki hii alipoangusha picha katika mtandao wake akiwa na kamama tulipompigia simu msanii huyo mbinu zetu za kupata kuongea nae ziligonga mwamba kwani hakuweza kupokea simu zetu.
Ikiwa ni wiki ijayo msanii huyo atakua anaangusha video yake mpya inayojulikana kama WANGU je huenda kuwa msichana huyo ni video Queen katika video hio mpya yake?
Comments
Post a Comment