Skip to main content

MSANII DAZLAH KIDUCHE AMTIMUA MKUBWA WA MADANCER WAKE SABABU HII HAPA...Soma story nzima hapa.


Msanii kutoka hapa Kenya hit maker wa Kidekide wikendi hii hakuwa na dancer wake wote kwaukamilifu kama kawaida mashabiki wake walivyomzoea,katika ukumbi wa Mamangina ambapo kulikua na show ya MARATHON.
                                                   DAZLAH AKIWA JUKWAANI

 
Dazlah alionekana akipanda katika jukwaa akiwa na dancer nusu na mashabiki zake kuulizana na wenfgine kudai kwamba haukweza kuwamudu lakini THEGREATMULLEY tuliweza kuongea na msanii huyo na kumuuliza kwamba ni kweli ameshindwa kuwahudumia ma dancer wake wote ndio maana amewapunguza, Msanii huyo aliweza kusema kwamba aliweza kumpa dancer huyo likizo fupi kwasababu ya utovu wa nidhamu kumbuka ndie mkubwa wa dancers wake kwa jina MODY CHILE.

"Kiukweli sijamfuta kazi wala kumtimua Mody Chile bali nilimwambia akae nyumba kiasi kwasababu alikua anaanza kuzembea katika kazi na kutofika mapema zoezi ndio maana nikampa suspension lakini kwasasa amerudi na kuomba msamaha na tunafanya kazi kama kawaida" Alisema Dazlah.

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..