Skip to main content

EXCLUSIVE STORY:HUU NDIO UJUMBE MZITO WA TBT WEMA SEPETU ALIOMUANDIKIA ALIYEKUWA MPENZI WAKE AMBAYE KWASASA NI MAREHEMU, STEVEN KANUMBA.Soma Hapa

Katika tasnia ya uigizaji nchini Tanzania Kila mmoja anafahamu kwamba muigizaji wakike WEMA SEPETU aliweza kuingizwa katika tasnia hio na alieyekuwa star wa Bongo movie na ni mmo ywa wale waigizaji walioipeleka tasnia ya Bongo Movie mbali zaidi si mwengine ni STEVEN CHARLS KANUMBA.

Ikiwa leo ni ile siku ya kukumbuka vitu vilivyopita (Mambo ya Nyuma) Queen WEMA SEPETU aliweza kumkumbuka sana aliye kuwa mwalimu pamoja na mpenzi wake na kumuangushia ujumbe mzito wa kimapenzi kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM.

Ikiwa ni Miaka sita saa hii tangu mauti kumpata Star Huyo lakini bado Mrembo Wema Sepetu amebaki na kumbukumbu ya Mapenzi aliyokuwa anapewa na marehemu KANUMBA,
Na Huu ndio ujumbe aliouandika Wema.

"My TBT... My First True Love... They say U only Find True Love once in your Lifetime... If & Only If... Well I cant deny the fact that he has a special place in my heart.... And after God took him from Us, I had room for another True Lover.... & Yes I choose to keep him from You... You'll never know... RIP Steve wangu... 🙏🏼"


Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..