Baada ya kimya kirefu tangu kuachia nyimbo yake inayojulikana kama BARUA Twenty Two Mwangi ameamua kurudi tena na ujio mpya ambapo ni mtindo ambao haja wahi kuufanya nyimbo yenye inajulikana kama SINA.
Sina ni wimbo ambao uko kimtindo wa kama Mduara ama Sebene ambapo amefanyia ndani ya studio za TEE HITS,
Pata nyimbo hio hapa!!
https://www.hulkshare.com/l91k7j3ts7wg
Sina ni wimbo ambao uko kimtindo wa kama Mduara ama Sebene ambapo amefanyia ndani ya studio za TEE HITS,
Pata nyimbo hio hapa!!
https://www.hulkshare.com/l91k7j3ts7wg
Comments
Post a Comment