KWA MARA YA KWANZA SHEMBWANA MASAUTI KUZINDUA VIDEO YAKE MPYA JUMA TANO HII KATIKA MKAHAWA WA BELLA SPORTS/BELLA VISTA ALIOIFANYA TANGU KUINGIA KATIKA MIKONO YA J-BLESSING.
Ni mda sasa tangu tuskie kijana wa nyumbani yaani Shembwana Masauti kuwa amechukuliwa na kampuni ya J-Blessing basi ukimya huo utavunjwa hapo siku ya Juma tano katika mkahwa wa Bella Sports ambapo atakuwa anazindua video yake mpya tangu kuchukuliwa na JBlessing
Msanii huyo atakuwa katika jukwaa na wasanii wenzake wengi pamoja na Mc Muscat Moreno ‪#‎Gates_Mgenge‬ (Pwanifm) Pamoja na Dj Elonn Imperialdj Dj Ivory Patrick Simiyu pamoja na washika dau wote ikiwemo Actress,Dancer na manager mbali mbali.
Usikose mtu wangu Tujumuike pamoja ikiwa ni kila Jumaa Tano mahali ni BELLA SPORTS.
Comments
Post a Comment