Skip to main content

MSANII BENSO ALIPATA KUACHIA UJIO WAKE MPYA AKIWA AMESHIRIKIANA NA MSANII WA KIKE ANAYEJULIKANA KAMA MISS GG...Skiza hapa!!



Msanii anayejulikana kama Miss GG ndiye msanii wa kwanza wa kike kutambulishwa na Msanii Benso ambapo walitoa wimbo wao wa kwanza uliojulikana kama PHONTHO ambao uliweza kufanya vizuri sana katika vituo mbali mbali vya T.V na Radio hapa nchini.

Benso amerudi tena na kuvunja ukimya wake akiwa kwa mara hii ameshirikishwa na msanii wa wakike aliye na sauti ya mnato na mvuto zaidi anayejulikana kama MISS GG,Msanii huyo ambali na kuwa ni msanii wa ku-record pia huimba na Band sehemu mbali mbali humu nchini,na kwa sasa wasanii hao wamerudi tena na ujio wao mpya unaojulikana kama I DO.

Tukiongea na wasanii hao walidai kuwa video ya wimbo huo wao iko njiani na inaweza kuwa nje hivi karibuni kwa hivyo mafans wao wakae mkao wa kula.

Skiza Wimbo huo hapa!!

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..