Tuliona wanapendana ndio lakini kimziki shuhuli hio ikiendelea ndio madai hayo yalijitokeza kuwa Nyota Ndogo amemueka msanii huyo HIP HOP kinyumba lakini tulithibitisha kwamba ni uzushi mtupu.
Video hio yao pamoja na Audio zitatoka pindi msanii Ntota Ndogo atarejea nchini baada ya safari yake ya DENMARK
Baadhi ya Picha za video hio tuliweza kuzipata ndio hizi...
Comments
Post a Comment