Skip to main content

MSANII P-DAY ASEMA KUWA HATAKI MZIKI WAKE UITWE "ZIKI LA NAZI"...soma hapa..


Msanni P-Day anayetokea hapa Kenya katika mkoa wa Pwani yaani Mombasa kupitia mtandao wake wa Facebook hapo jana aliamua kutema alichokua nacho moyoni kuwa yeye hataki mziki wake uitwe ZIKI LA NAZI ama SAYAPWA P-Day aliweza kuandika hivi "..... Morning beautifully pple, dis goes to the hypocrites, they should knw that I started music alone n I will sing without ceizing, for more information ihav a chair in #mcsk, and am very much satisfied n happy.... So stop calling me, telling me abot sayapwa ifact I'd prefer my fans to knw dis, never call my music (mziki wa Nazi) kama ni lazima uupatie jina mziki wangu basi uite.. #coast_flavour.... Tanks my power iz in da talk #teamnylonguitar"

Hapo nyuma kidogo hapa Mombasa paliweza kuandaliwa tamasha la kukataka na shoka ambalo lilijuli kana kama SAYAPWA wasanii walikua ni Sususmila,Ally B,Nyota Ndogo Mc Gates Mgenge na wasanii wengne wengi ambapo inasemekana hao ndio wasanii ambao wako chini ya chama cha SAYAPWA lakini msanii huyo hit maker wa Pilivala alikanusha na akasema hataka mziki wake uitwe ZIKI LA NA ZIKI kwani anajiaminia na pamoja na hayo ana kiti chake katika shirika la MCSK NA na pia kusema afadhali uitwe COAST FLAVA kuliko jina hilo.




Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..