Skip to main content

"VIDEO YA "KATIKA" IMENIGHARIMU 3.5MILLION PESA TASLIM ZA KENYA" AKOTHEE ASEMA KATIKA KITUO CHA EATV TANZANIA..soma hapa ziaidi.


Baada ya kuiachilia video yake mpya jijini Nairobi inayojulikana kama KATIKA msanii wakike anayekuwa kwa kasi kutoka Mombasa ya Kenya ESTHER AKOTHE almaarufu kama AKOTHEEE hakutosheka na hapo bali pia aliweza kutinga  ndani ya nchi ya Muhushimiwa JAKAYA MRISHO KIKWETE Tanzania ilikuiachia katika vituo vya Televisheni vilivyo umo.

Akothee aliweza kufika Tanzania na kuiachia video yake KATIKA katika vituo vya televisheni zaidi ya vitatu ikiwemo EATV,CLOUDSTV na vyenginevyo, katika mahojiano na watanhazaji wa EATV Akothee alidai kuwa video yake mpya imeweza kumgharimu takriban shilingi milioni tatu na nusu pesa taslim za nchini Kenya ambapo aliifanya na director HAMZA wa ONEPOINT MONTAGE ambapo video hio iliweza kufanyiwa Zurich Swiziland.
Hizi ni Baadhi ya picha tulizozipata akiwa anaachia lia Vdeo yake mpya kwatiaka EATV.









Uanaweza kuitazama video ya KATIKA hapa...

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..