Richard almaarufu kama RICH MAVOKO kutoka anga za Tanzania ameendelea kuonesha umahiri wake na kuvuka mipaka na kuingia humu nchini Kenya,Msanii huyo mkali wa ROHO YANGU ameshirikishwa katika ngoma mpya na KAKA EMPIRE alamaarufu kama RABBIT.
Rabbit aliweza kupost cover ya ngoma hio ambayo bado haijatoka wala kusambazwa mahali popote na kusema kwamba itatoka hivi karibuni,Kwa wale wapenzi wa muziki wa wasanii hawa RICH MAVOKO na KAKA SUNGURA kaeni mkao wa kula kitu kipya kina kuja.

Comments
Post a Comment