Skip to main content

HUYU NDIYE ANAYESEMEKANA KUWA SHEMEGI YAKE BROWN MAUZO CLASSIC...pata kuona picha zaidi hapa.

 Kama unakumbuka hapo juzi BROWN MAUZO alieka picha yake akiwa na jamaa flani aliyekuwa amevalia gwanda la kia askari watu wakajiuliza maswali mengi tu.

THE GREAT MULLEY iliichunguza kwanini msanii huyo alieka picha hio katika mtandao wake na wakati huo alikuwa anaenda kupiga show Stardust Malindi,msanii huyo hakutaka kuongea mengin katika picha hio bali alielezea kuhusu tamasha lake katika mkahawa huo.

Inasemekana kuwa yule jamaa katika picha ile ni shemegi yake BROWN ambaye ni kakake AKOTHEE hit maker wa KATIKA.

Picha yenyewe ndio hii hapa.



Hii ndio video mpya ya BROWN MAUZO..


Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..