NYOTA NDOGO ACHUKIZWA NA KITENDO CHA KUVULIWA NGUO KWA WANAWAKE OVYO OVYO.......soma alicho kisema hapa.
Huku maandamano ya wanawake yakiendelea katika miji mbali mbali nchini Kenya kwasababu ya wanawake kuvuliwa nguo msanii kutoka hapa Kenya Nyota Ndogo amekishutumu kitendo hicho na kudai kuwa pia wanaume wanao vaa surua milegezo wavuliwe pia.
Mapema hii leo msanii huyo ameonekana katika mtandao wa Twitter akitupia maneno ya uchungu kufuatia kitendo haya ndio baadhi ya maneno...
1."KILA SIKU WEWE NDIO MUAMUZI WA MAISHA YAKO.MENGINE MUACHIE MWENYEZI MUNGU.UKITAKA KUVUTA BANGI PIA YANAMAISHA YAKE.MUAMUZI NI WEWE"
2."Bora kumpiga makofi mawali kama ilikua lazima kumuadhibu kwakuvaa nguo fupi.lakini sio kumvua nguo hadharani."
3."WANAUME WANAO VAA MA JEANS YAKUBANA PIA WAVULIWE.WANAO VAA NGUO ZINAZOITWA MUHARISHO YANI MATAKO NJE PIA WAVULIWE.ETI SWAGA SWAGA GANI.VUA"

Comments
Post a Comment