Ni video iliyongojewa kwa hamu na ghamu kuanzia wimbo huo utoke mwaka uliopita.
MwanaFA akishikiana na Ali Kiba walifunga virago kuanzia Tanzania hadi Kenya na kukutana na BOSCO JRN ambaye ndiye Director wa video anayetamba kwa sasa.
Watatu hao walikutana na kuifanya video hio ambapo imeachiliwa hapo jana pata kuitzama hapa..
Comments
Post a Comment