"NOTI FLOW SINGING IS NOT YOUR CAREER GO AND SEARCH YOUR CAREER STOP MUSIC" VICTORIA MIMSH AFUNGUKA...Read more,

Mtangazaji huyo anayejulikania kama VICTORIA MIMSH aliweza kusema kuwa msanii wakike anayeimba miondoko ya rap anayejulikana kama NOTI FLOW awachane na mziki sababu kuu ikiwa ni hawezikuimba na hio sio talent yake na kua analazimisha mziki ambapo mziki haulazimishwi "NOTI FLOW SINGING IS NOT YOUR CAREER SEARCH YOUR CAREER BECAUSE YOUR NOT GOOD IN SINGING"tuliweza kumnukuu akisema hayo kupitia kipindi cha mistari na VINA NA VINA, alendelea na kusema kumwambia kuwa atafute kazi nyengine afanye kwani anatumia pesa zake kufanya video kubwa kubwa lakini kuimba ndiko kuna muangusha.
Victoria aliweza kumwambia aangalie wenzake kama PETRA na WANGECHI wanavyo fanya miziki yao na mtindo ni mmoja
Hii ni moja wapo ya video ya msanii NOTI FLOW patakuitzama hapa.
Comments
Post a Comment