Baada ya kimya kirefu tangu kuangusha ngoma yake ya DOGO DOGO REMIX akiwa na wasaanii kama JULIANI,CHURCHI,CHIKUZEE,HASH B,SHAMANIZ pamoja na wengine wengi msanii kutoka Jungle masta amevunja ukimya wake na round hii amekuja kwa njia tofauti kabisa na wimbo wake unaojilikana kama KILA KITU SALAMA.
Wimbo huo ameufanyia katika studio za Jungle Masta chini ya uongozi wa Prince Audio na Producer Emmy Dee.
Pata kuskiza na ku download wimbo huo hapa..
Comments
Post a Comment