Katika tasnia ya uimbaji kila mwana muzika ama msanii anamtindo wake wa kivyake wa kuwafurahisha na kuwa beba ki hisia mashabiki wake kupitia mziki wake wengine utawaona wanavaa mavazi ya kivyao ama mtindo tofauti.
Kwa msanii Jaguar amabaye ndio hit maker wa ONE CENTIMETRE imekua tofauti kabisa,kupitia mtandao wake wa insta msanii huyu aliweza kuonenesha kipaza sauti (MICROPHONE) ambapo alisema kipaza sauti hicho ni cha kazi yae hio ya kutumbwiza mashabiki wake.
Jaguar alpoulizwa alisema kuwa bei ya kipaza hicho ni takriban Milllioni moja na nusu yaani 1.5Million, kupitia mtandao huo wake aliweza kuandika hivi "
Naipenda kazi yangu saaana kwani imenitoa mbali sana na
ikanipeleka kwingi sana..."
Hiki ndicho hicho kipaza sauti (MICROPHONE)
Comments
Post a Comment