Skip to main content

EXCLUSIVE VIDEO| WILLY PAUL MSAFI-VIGELEGELE| WATCH IT HERE...


Willy Paul Msafi baada ya kumpata mamake sasa ameachia video yake inayojulikana kama VIGELEGELE.

Tukikumbuka msanii huyo wa nyimbo za injili mapema wiki hii alikua anamtafuta mamake mzazi aliyekuwa amepotea na ndipo msanii JAGUAR alichukua jukumu hilo la kumsaidia ili kumpata mamake na kwasasa msanii huyo anajihisi huru na kuachia wimbo wake.

Mapema hii leo Willy ameachia ngoma yake mpya baada ya kimya cha nyimbo ya MAMANGU  sasa msanii huyo amekuja na njia nyengine na video hio ya VIGELEGELE.

Pata kuitazama video hio hapa na uangushe comment yako.

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..