Skip to main content

EXCLUSIVE BEHIND THE SCENE| PATA KUTAZAMA PICHA ZA MSANII DAZLAH AKIWA ANAADA VIDEO YAKE AKIWA AMEMSHIRIKISHA SUSUMILA...

Ndani ya mwezi huu wapili kumekua na video nyingi ambazo zinaanadaliwa moja ikiwa ni ya msanii DAZLA KIDUCHE akiwa amemshirikisha SUSUMILA.

Katika pitepiete zetu za kwenye mitandao wiki hii tumewezakukumbana na picha za msanii DAZLAH akiwa anaandaa video yake ambapo itakuwa inaachiliwa hivi karibuni,nyimbo yenyewe inajulikana kama KIDEKIDE ambapo imetengenezwa ndani ya studio za TEE HITS chini ya produza wake TEE TONY.

THEGREATMULLEY iliweza kuongea na studio za TEE HITS na kudai kuwa nyimbo hio itaweza kuachiliwa kwenye maskio ya watu mwezi wanne ikiwa ni mwezi huu tarehe nne yaani 06.04.2015

Video hio inaandaliwa na director anayejulikana kama HAMZA OMAR ambaye ni yuko chini ya kampuni inayojulikana kama ONEPOINT MONTAGE.

Hizi ndio baadhi ya picha tulizozipata.





Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..