Skip to main content

WASOJALI BAND WANYIMWA NAFASI YAKUPIGA SHOW MANAGER WAO AMWAGIA LAWAMA SHOW YA TUKUTANE MOMBASA...Soma taarifa nzima hapa

Wikendi hii ilikua ni ndefu ya siku kumi za burudani ambapo kulikuwa na tamasha la MOMBASA INTERNATIONAL CULTURAL ambapo liliweza kutamatika hapo jana katika uwanja wa MAMANGINA.


Kati ya wasanii waliopiga show hio ni SUSUMILA,DAZLAH,AMOURY BEYBY pamoja na bongo finest ALLY KIBA,Kati ya hao kikundi cha vijana wanne wanaokuja katika game kwa kasi WASOJALI band inasemekana hawakupewa nafasi nzuri juu ya stage kufanya mambo yao.

AMOURY BEYBY akiwa jukwaani.


Katika ukurasa wa facebook wa WASOJALI BAND waliweza kuandika maneno haya "Mombasa international Cultural festival hawakutupa uhuru wa kuperform kwa stage kabisa hatukufurahia show ya festival" Yakiambatanishwa na picha wakiwa juu ya jukwaa,tukiongea na manager wa vijana hao anayetambulika kama ATHMAN BABZ alisema "Vijana walikuwa wamejipanga vizuri na show hio lakini muda waliopewa juu ya jukwaa haukunifurahisha kabisa kwani walipelkwa mbio ni kama walikua vitani" Alisema hayo Meneja Athman Babaz.


Hii ni Picha ya uwanja wa Mamangina

Tizama Video yao Latest hapa chin i inayojulikana kama SINA BAHATI.

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE HII HAPA : MASAUTI KATABIRIWA KUWA "THE NEXT BIG THING" NDANI YA MWAKA 2019 JE UNAJUA NI NANI ALIYEMTABIRIA?..Soma hapa

Katika miaka yote mwaka wa 2018 unaonekana ndio mwaka ambao mkali wa masauti Shembwana Masauti ameweza kufanya kazi nyingi nzuri na za ghali sana. Mkali wa 'vocals' Masauti mwaka jana aliweza kudondosha ngoma kali takriban kama nne kwa mfululizo amabazo ziliweza sana na kwasasa kibao kinachotatiza anga kinaitwa KIBOKO ambacho kibao icho kinaendelea kufanya vizuri ndani Afrika Mashariki. Hapo jana Presenter mkubwa kutoka MileleFmJalang'o almaarufu kama Mzee Jalas Mwenyewe aliweza  kusema msanii huyu huu mwaka ndiye atakaye sumbua kulingana na usimamizi wake mzuri pamoja na kazi zake zinazoweza kupita kiwango. Hii Hapa ndio kazi yake MAsauti mpya inayokwenda kwajina KIBOKO

EXCLUSIVE: DOWNLOAD WIMBO MPYA WA TANZANITE ALIYO MUIMBIA LULU WA BONGO MOVIE

Pata kudownload na kuskiza hapa chini....

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.